KITABU kitachoweza kumsaidia mtu atafutaye kazi kuweza kushinda Usaili wake bila matatizo, kutaainisha nini Wasaili wako wanataraji kutoka kwako. Jinsi ya kujitayarisha na kua na kujenga imani juu ya majibu yako.
Download Bure
Showing posts with label Vitabu Ajira. Show all posts
Showing posts with label Vitabu Ajira. Show all posts
Wednesday, August 1, 2012
JOB INTERVIEW SUCCESS
Job Interview Success ni mkusanyiko wa ujuzi wa kujifunza juu ya usaili ulio mbele yako, mara nyingi baada ya kupata simu ya kuitwa kwenye usaili hua vigumu kupata mtu atakayeweza kukuelekeza nini cha kufanya. Kitabu hichi kitakufundisha yote ambayo ungeelekezwa na mjuzi mwingine. ni kizuri kwa watu wasio na uzoefu wa usaili kwani humuondolea hofu muhusika na kumjengea kujiamini. Download bure na fuatilia kwa makini maelekezo kisha usaili hautokua taabu kwako.
Saturday, July 14, 2012
GUIDE TO THE PERFECT INTERVIEW
KWA wanaofanya usaili kwa mara ya kwanza ama wale waliokwisha fanya na wanajua kukosa kwao kwa kazi fulani ilikua ni sababu ya kujibu vibaya ama kutokujua cha kujibu kwenye usaili. hichi kitabu kitakuelekeza kama usiyejua chochote na kadri ya unavyoperuzi utagundua makosa uliyokua ukiyafanya na kitakuelekeza pia jinsi ya kuepuka makosa kwenye usaili wako ujao. Download Bure na kama kitakusaidia basi toa comments zako ili kiwape mwanga wengine wenye kukuhitaji.
FEARLESS INTERVIEWING
HOFU hua kubwa pindi unapokua mbele ya Wasaili juu ya nafasi ya kazi uliyoiomba, kua na hofu ni kawaida ila haitakiwi kuathiri majibu yako. Kitabu hichi kitakuonesha njia za kufanya kuepuka hofu na kua na amani. nini cha kufanya ndaini ya sekunde 20 za mwanzo zitazokupunguzia hofu, Jinsi ya kupokea maswali magumu na kujibu kwa utulivu, njia zakupata mshahara uutakao ikibidi kushawishi wakupe asilimia 20 zaidi ya waliopanga.
Download Bure
TOP SECRET EXECUTIVE RESUMES
CV za wanaotuma maombi kwa kazi za juu (Executives) mara nyingi ina vitu ambavyo huonesha muhusika ni kweli mtu wa elimu na ezoefu wa hali ya juu kazini kutokana na muonekano wa CV yake. Tengeneza kujiamini na uwe na uhakika wa kuchukuliwa u muhimu kwa kua na Cv itakayoendana na nafasi uombayo.
Kitabu hichi utakidownload hapa bure na kukuongoza vema.
Download Bure
Kitabu hichi utakidownload hapa bure na kukuongoza vema.
INTERVIEW SKILLS THAT WIN THE JOB
KUFANYA interview kwa ufasaha kunategemea mambo mengi likiwamo ujuzi wa kulifanya hilo. Kitabu hichi kitakuwezesha na ujuzi huo na mbinu rahisi za kujibu maswali magumu. Download Bure na nenda kwenye interview ukiwa na amani.
Download Bure
202 GREAT RESUMES
BRILLIANT INTERVIEW
USAILI kua mzuri kwako na kwa wasaili ni jambo gumu ila kama utakua unaelewa nini wanatarajia kusikia kutoka kwako na wewe kujua jinsi ya kujielezea kuhusiana na wanayokutarajia kuwaelewa, basi usaili huo hua ni wenye mafanikio kwa wewe na wasaili. Jua mbinu za kugundua nini wanataka bila wao kukwambia.
Download hichi kitabu bure na ufuatane na kitabu hichi kuwa tayari.
Download Bure
Download hichi kitabu bure na ufuatane na kitabu hichi kuwa tayari.
UNBEATABLE RESUMES
CV ambazo zimefanikisha hasa watu mashuhuri kupata ajira huko Amerika, kwa kuangalia mifano ya Cv hizo kutakupa taswira nzima ya uandishi bora wa |CV. Download na uanza matayarisho
Download Bure
INTERVIEW OTHERS
KUNA hofu kubwa ya kuwafanyia usaili waombaji, na huna uhakika kama utakaowapitisha ndio hasa wanaotakiwa na Kampuni. Ondoa hofu hiyo kwa kupitia kijitabu hichi kifupi ujue nini hasa unatakiwa kutilia maanani tofauti na kujieleza na mavazi ya wasailiwa.
Download Bure
RESUMES FOR DUMMIES
HUJAWAHI hata mara moja kuandaa CV na hua hata ufahamu wa inavyoandikwa, usihofu kijitabu hichi kitakupa mwangaza wa kuandaa na kuiandika na zaidi hutokua tofauti na wale wazoefu. Download na uwe tayari kwa usaili ama maombi ya kazi.
Download Bure
NEXT DAY JOB INTERVIEW
HUNA muda! ama muda ni mchache, baada ya kutuma maombi bila kutarajia umepigiwa simu inayokutaka kesho uwe tayari kwa usaili. Pitia kitabu hichi na haitokua vigumu kujiandaa kama waliojiandaa kwa mwezi mzima.
Download Bure
REAL RESUMES FOR CUSTOMER SERVICE JOBS
MIFANO mingi ya VC hua ni ya kubuni ila kwenye kitabu hichi utapata fursa ya kuona na kujifunza kupitia CV hasa zilizotumika kwa mafanikio ya kupata kazi. Huduma ya kuhudumia wateja hua ina changamoto na mwajiri hutaka uhakika wa kua mkarimu kwa wateja wake ili usiwe sababu ya wao kumkimbia. CV yako itaonesha wewe ni FRIENDLY. Download na utajifunza mengi.
Download Bure
201 BEST QUESTIONS TO ASK ON YOUR INTERVIEW
KUNA wakati mfanyiwa usaili hutakiwa kuuliza swali kama analo! wengi husema hawana. Jaribu kua mtu wenye shauku na kuonesha unataka kujua mambo zaidi kama utaajiriwa . Kuna maswali ya msingi ambayo hujenga fikra nzuri juu yako kutoka kwa waajiri, jua maswali hayo na jinsi ya kuyauliza na maana ya kuuliza maswali hayo. Download bure
Download Bure
PRACTICE INTERVIEW BOOK
KITABU cha mazoezi rahisi juu ya interview, jiandae kwa aina zote za maswali bila kuonekana mwenye kufikiria. Download Kitabu hichi bure
Download Bure
SUCCESSFUL INTERVIEW SKILLS
Friday, July 13, 2012
301 BEST QUESTIONS TO ASK ON YOUR INTERVIEW
100 WINNING RESUMES (C.V)
MIFANO 100 ya CVs za watu wenye kujiandaa na maombi ya kazi zenye mishahara ya juu. Ujira mkubwa huchangia kua na usaili mgumu, fanya wepesi kwa kujua nini wanachotarajia kusikia kutoka kwako na "strike the points" kushinda usaili.
Download Bure
24 HOURS TO THE PERFECT INTERVIEW
Subscribe to:
Posts (Atom)
Powered by Blogger.